Maji yakitoka bombani kuingia kwenye ndoo. MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewataka wananchi katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, kuhifadhi maji yanayopatikana na ...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA), imesema shehena ya makasha imeongezeka kutoka 7,151 mwezi Aprili 2024 hadi kufikia makasha 20,151 kufikia mwezi Julai 2024. Ongezeko hilo linaelezwa ...