TANZANIA jana iliungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani. Maadhimisho haya hufanyika kila mwaka kutokana na Azimio Na.45/106 la Umoja wa Mataifa ambalo lilitenga Oktoba ...