Kwa Wakristo wengi duniani, tarehe 25 Desemba huadhimishwa kama siku ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, mwanaume anayeaminika kuishi zaidi ya miaka 2,000 iliyopita. Hata hivyo, kwa karne nyingi kumekuwepo ...