Huku kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025 zikianza kwa wagombea wa nafasi zote. Wagombea wa nafasi za urais wamejikita kuzinadi ahadi za kitaifa za vyama vyao kwenda wa wafuasi na ...
Utafiti mpya juu ya mahali bora pa kuishi na kufanya kazi nje ya nchi umefichua nchi bora zaidi kwa wahamiaji ama wageni kuishi. Kuanzia Malaysia hadi Mexico, wakaazi wanaeleza kinachowafanya wapende ...
Mkutano wa wakfu wa hali ya hewa umeshindwa kufanikisha ahadi za kutosha kufikia lengo la Umoja wa Mataifa. Pesa hizo zinalenga kusaidia nchi zinazoendelea ambazo zinahitaji kukabiliana na mabadiliko ...
Mataifa madogo ya visiwa yanayoendelea yamezitolea wito nchi tajiri zitoe fedha zaidi kuzisaidia kukabiliana na kitisho cha mabadiliko ya tabia nchi. Nchi ndogo za visiwa ambazo zinakabiliwa na ...