Huku kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025 zikianza kwa wagombea wa nafasi zote. Wagombea wa nafasi za urais wamejikita kuzinadi ahadi za kitaifa za vyama vyao kwenda wa wafuasi na ...
Kuna tofauti nyingi kati ya nchi zilizoendelea na nchi masikini, lakini moja ya tofauti hizo ni ile inayohusu ajira au kazi. Kwenye nchi za dunia ya kwanza, kuna wingi wa ajira na uhaba wa watu. Na ...
" Canada na Ufaransa zinataka "amani thabiti na ya kudumu, ikiambatana na dhamana dhabiti ambayo itailinda Ukraine dhidi ya uvamizi wowote mpya wa Urusi na kuhakikisha usalama wa Ulaya nzima," ...
Shirika la kutetea haki la Amnesty International limesema nchi tajiri lazima zitimize ahadi ya kulipa fedha katika mkutano wa mazingira wa mwaka huu, COP29. pia limeyataka mataifa tajiri kuzifadhili ...
Makamu wa Marekani Rais Kamala Harris ameuleza mkutano wa COP28 wa Dubai kwamba Marekani itachangia dola bilioni 3 kwa mfuko wa mabadiliko ya tabia nchi duniani ikiwa ni ahadi ya kwanza ya nchi hiyo ...
Nchi za Afrika Mashariki ni miongoni mwa nchi zilizoathirika zaidi na mzozo wa hali ya hewa, licha ya kuchangia asilimia 0.09 ya uzalishaji wa hewa ukaa duniani. PICHA YA HIFADHI: Mvulana wa Turkana ...