Mahakama ya Mkoa wa Bioko nchini Equatorial Guinea imemhukumu Baltasar Ebang Engonga, mkuu wa zamani wa Shirika la Taifa la Upelelezi wa Masuala ya Kifedha (NFIA), kifungo cha miaka minane jela kwa ...
Uchunguzi wa BBC umefichua mwanamume anayeendesha mtandao wa biashara ya ngono kutoka kwenye maeneo ya kifahari ya Dubai, akiwanyanyasa wanawake walio katika mazingira magumu. Mwanamume huyo, ...