Ripoti mpya ya Shirika la kulinda maslahi ya wanyama la Uingereza la World Animal Protection, inatahadharisha kuwa mifumo ya ufugaji wanyama ya kisasa inaweza kuchagia kusababisha baa jipya la afya ...