Si hadithi ya kufikirika, si fumbo la kitabu cha fasihi, bali ni simulizi hai ya mwanaume halisi, Juma Hamis Sakume, mkazi wa Singida, ambaye manyoya ya kuku wa kienyeji yalimfungulia mlango wa ndoa.
Katika mwendelezo wa makala ya ufugaji kuku, leo ni nchini Tanzania ambapo kwa miaka ya hivi karibuni watu kutoka katika makundi tofauti ya kijamii wamejiingiza katika ufugaji wa kuku, kama moja ya ...