Makala ya Sema Uvume safari hii inaangazia programu iitwayo 'Shule direct' ya nchini Tanzania. Licha ya jitihada za serikali kujenga shule kila kukicha bado idadi ya wanafunzi wanaoandikiswa kila ...