Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha samaki aina ya bigmouth buffalo wana maisha marefu na huzidi kuwa na afya bora kadiri wanavyozeeka. Lakini wanasayansi wana wasiwasi kuwa idadi yao inazidi kupungua ...