Na Paul Brown, Joshua Cheetham, Sean Seddon na Daniele Palumbo BBC Verify Mlipuko mbaya katika hospitali iliyosongamana ya Al-Ahli katika mji wa Gaza unahofiwa kuua mamia ya watu. Mamlaka ya Palestina ...
Vitisho vya vita vinaongezeka. Viungo vya watu waliofariki vilivyotapakaa mitaani. Watu ambao kifo kinawakodolea macho. Watu ambao wanakabiliwa na njaa. Hali inazidi kuwa mbaya – uzito wote wa mateso ...
Tanzania bado iko kwenye mshtuko kutokana na vurugu zilizoshuhudiwa wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, ambao waangalizi wa kimataifa wanasema haukuzingatia haki na haukuwa huru.