Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kama Ukraine na wanasiasa wa Ulaya aliowaita “nguruwe” hawatakubali mapendekezo ya Marekani kuhusu makubaliano ya amani, Urusi itatwaa maeneo zaidi nchini Ukraine ...
Jeni za nguruwe zimeimarishwa kisayansi ili kuweza kusaidia kumaliza ukosefu wa viungo vya mwili katika upandikishaji , watafiti wa Marekani wamesema. Wanasayansi walioondoa virusi ndani ya jeni za ...
Katika mafanikio makubwa katika uwanja wa upandikizaji wa xeno, madaktari wa upasuaji wa China wamefanikiwa kupandikiza pafu la nguruwe kwa mtu ambaye ubongo wake umepoteza uwezo wa kufanya kazi.
Operesheni hiyo ilitekelezwa siku ya Ijumaa. Ilionyesha, kwa mara ya kwanza, kwamba moyo wa mnyama unaweza kuendelea kufanya kazi kwa binadamu bila usumbufu wowote, Chuo Kikuu cha Maryland kimeongeza.
Madaktari nchini Marekani wametangaza kwamba mwanaume mmoja wa miaka 62 aliyekuwa mgonjwa wa figo amekuwa binadamu wa kwanza kupokea figo mpya aliyopandikizwa kutoka kwa nguruwe aliyebadilishwa ...
Madaktari bingwa nchini China wamefanikiwa kwa mara ya kwanza kufanya upandikizaji wa mapafu kutoka kwa nguruwe hadi kwa binadamu. Wanasema hilo linaoyesha uwezekano wa mafanikio katika utaratibu huo.