Wabunge wa Uganda wameambiwa kuwa mamlaka za dawa zimejua kwa miaka mingi kwamba dawa za kupunguza makali ya VVU/UKIMWI zimekuwa zikilishwa kwa mifugo. Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, ...
Katika mfululizo wa barua zetu kutoka kwa waandishi wa habari wa Afrika, mwanahabari wa Ghana Elizabeth Ohene anazingatia wito wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa watu kula mihogo huku bei ya ngano ...