KLABU ya Simba, leo Ijumaa, Desemba 19, 2025 imemtangaza Steve Barker kutoka Afrika Kusini kuwa Kocha Mkuu mpya.
KLABU ya Simba imesema itatumia kipindi cha mapumziko kupisha ratiba ya michuano ya fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zinazotarajiwa kuanza Morocco Desemba 21, mwaka huu kutafuta kocha wa kuinoa ti ...
Klabu ya Simba imetangaza kwamba haitocheza mchezo wake dhidi ya watani wao wa jadi Yanga hii leo ikisema imesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana dhidi ya timu yao kuelekea mchezo huo. Klabu ya ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Katika ardhi yenye ladha ya bahari na harufu ya historia, Zanzibar patakuwa na mchezo wa haja Jumapili hii: Simba SC ya Tanzania wakikabiliana na wageni waliokuja kushangaza, Stellenbosch FC ya Afrika ...
Mtifuano wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara unaendelea leo Mei 5 kwa Mchezo mmoja katika hatua ya lala Salama Wekundu wa Msimbazi Simba wanakibarua kigumu ugenini dhidi ya Maafande JKT Tanzania. Simba ...
TANGU yalipotangazwa makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 iliyoanza juzi huko Morocco, mashabiki na ...
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
Klabu ya CS Sfaxien imepewa adhabu ya kucheza mechi mbili za nyumbani bila uwepo wa mashabiki katika uamuzi uliotolewa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Mechi mechi hizo ni dhidi ya Simba na FC ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results