Nchini Guinea, ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma imetangaza siku ya Jumanne jioni, Januari 6, 2026, kifo cha Kanali Claude ...
Nirmala Rana, mwenye umri wa miaka 60, ameketi kando ya kitanda cha mwanawe mwenye umri wa miaka 30, Harish. Mwaka 2013, Harish, akiwa mwanafunzi wa uhandisi wa ujenzi, alianguka kutoka ghorofa ya nne ...
Papa Leo anaongoza kikao chake cha kwanza cha baraza la maaskofu tangu achaguliwe kwenye nafasi hiyo mwaka jana kufuatia kifo ...
"EU inatoa rambirambi zake za dhati kwa kifo cha rais Raïssi na Waziri wa Mambo ya Nje Abdollahian, pamoja na wajumbe wengine wa ujumbe wao na wafanyakazi wa helikopta katika ajali hiyo. Tunaungana na ...
George Floyd, raia mweusi wa Marekani ambaye kifo chake kimesababisha maandamano makubwa Marekani, alikufa kutokana na ukosefu wa hewa safi ya (oksijeni), kwa mujibu wa uchunguzi binafsi wa maiti yake ...
Wachambuzi wanaamini kuwa kuuawa kwa kiongozi wa Hamas si pigo la mwisho kwa kundi hilo, na matarajio ya kusitisha mapigano bado hayako wazi. Kwa maneno ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ...
Walisema kifo cha mende ni kulala chali. Hakika aliyesema haya hakukosea. Serikali ya Uhuru Kenyatta kwa mtazamo wa wengi ni kama mende anayesubiri kifo chake mwaka wa 2017 kutokana na ahadi zake tasa ...
Mama wa mwanamuziki wa nyimbo za njili nchini Betty Bayo, amewasilisha rasmi ombi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mashtaka ya Umma nchini (ODPP) ili kufunguliwa uchunguzi rasmi kuhusu kifo cha binti yake. Katika ...
Jeshi la Polisi limeanza uchunguzi wa matukio matatu ya vifo vilivyotokea kwa nyakati tofauti katika maeneo ya Tarime/Rorya, ...
"Tarehe 17 Machi 2021 majira ya saa kumi na mbili jioni, tume mpoteza kiongozi wetu shupavu, Rais wa Muungano wa Jamuhuri ya Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Joseph Magufuli." "Alifariki kwa maradhi ya ...