Licha ya jua kali, Dimitri mwenye umri wa miaka kumi na mbili, sio jina lake halisi, anajificha ndani ya nyumba ya mama yake iliyotengezwa kwa mabati katika mtaa wa Birere, huko Goma, mashariki mwa ...
Baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025 ulioacha majeraha ya kisiasa na kijamii, Tanzania inakabiliwa na swali muhimu: inaweza vipi kudumisha amani yake ya muda mrefu huku ikiitikia wito wa mageuzi ya ...
Viongozi wa nchi zilizoendelea na zile zinazoinukia kiuchimi G20 wametoa wito wa "amani ya haki na ya kudumu" Ukraine, Sudan, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika ardhi ya Palestina inayokaliwa ...
Mwanaharakati wa kimataifa wa kutetea haki za binaadamu Kambale Musavuli ameiambia DW makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyotiwa saini nchini Qatar kati ya serikali ya DRC na waasi wa M23 ...